MAJALIWA AAGIZA JIJI LA DODOMA, LATRA KUKUTANA

*Ni kushughulikia mpango wa stendi katika soko jipya la wajasiriamali Dodoma Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa Jiji la Dodoma ukutane na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) ili kutengeneza mpangilio safari za daladala ndani ya jiji hilo kuelekea soko jipya la wajasiriamali wadogo lililoko barabara ya Bahi. Amesema sambamba na utekelezaji wa